Kwa upande wao City waliambulia kichapo cha 2-1 mikononi mwa Liverpool jumapili. ''ndio mwanzo mkoko umealika maua'' alisema nahodha wa Chelsea Terry.
Kikosi cha Yanga kimeondoka leo Jumanne Desemba 3, 2024 kuelekea Algeria kwa ajili ya kuivaa MC Alger katika mchezo wa kundi ...
Ken Gold imekuwa timu ya kwanza Ligi Kuu Bara kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kufungwa penalti 4-3 ...