Maelezo ya picha, Mwanamke huyo anadaiwa kuiba zawadi za thamani ya maelfu ya dola na pesa kutoka kwa wanandoa wapya wanaooana 15 Agosti 2019 Polisi wanamsaka mwanamke ambae amepachikwa jina la ...
Dar es Salaam. Saa 11.00 alfajiri alikuwa amejiandaa kikamilifu kutimiza nia yake mbaya ya kuiba mtoto hospitalini jambo analojutia na kuwaonya wanawake kuwa na subira maishani. Lengo lake kubwa ...
Lengo lao: kuiba dola bilioni moja. Kuondoa pesa, genge lililokuwa likihusika na wizi huo lingetumia akaunti bandia za benki, mashirika ya misaada, kasino na mtandao mpana wa washirika.
Baadhi ya washtakiwa wanaokabiliwa na mashtaka ya wizi wa lita 9.9milioni za mafuta ya Petrol na Dizel wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kesi yao kuahirishwa. Picha na Hadija ...